Do you want to know the lyrics of Wachana Naye by KingsMainaMSsteve ? You're in the right place.
On our website, we have the complete lyrics of the song Wachana Naye that you were looking for.
Do you love the song Wachana Naye ? Can't quite understand what it says? Need the lyrics of Wachana Naye by KingsMainaMSsteve ? You are in the place that has the answers to your desires.
Taratibu wazee kwa vijana
Wamama kwa wasichana karibieni sauti inawalilia
Kwa huzuni mingi samahani wapenzi tega maskio
Mniskilize mazuri apa kwa wingi maovu yote tunaodoa
Ukurasani chunga tamaa ya nje itakuagamiza na usahaulike
Chizika na wako wanyumbani mwenye mapenzi kiupendo ya
Kifahali isiyo ya leo loe leo tu, milele milele eeh nasema tena milele milele eeh
Kaa ukijua eti ukimuona kavalia miniskirt nusu uchi uwe
Kijana ama mzee Wachana Naye anasifa za kuacha mapaja
Na migogo wazi mwenye kumelemeta kaa maridadi car usiku anakaa
Mwangaza ila akipita usimkonyeze jicho usije ukajisahau
Huyo ni mtapeli wa mali yako mwenye mapambo kupendeza
Sauti gunzo tu kuvutia kukuharibia ujana tu
Sometime amevalia kogi kogi utaskia kogi kogi akipita
Kwa maringo huyo ni kama funza anasaka pakutubukia
Kwa muda ooh hao maabunuasi wako hapo ulipo walalahoi
Na walalahoi wote wakitubukia ndani kwa ndani na kusahau
Na familia zao manyumbani kuwa mjaja usifanywe mtumwa
Wakate waodoe kwa line up ya maisha yako usipagwe na
Nderemo na shagwe siku zote jijue wewe mwenyewe uwapendao
Uwatunze dio watakao kuzika watasimama nawe wakati wowote
Kama ujui jua leo hakuna aliye kama wewe ulimwegu mzima
Sio siri tena ni wazi hatharani hawa watu wako mumejionea
Wenyewe jihathali ishi na watu vizuri eeh
Huyo ni mtapeli wa mali yako mwenye mapambo kupendeza
Sauti gunzo tu kuvutia kukuharibia ujana tu
Otras canciones de KingsMainaMSsteve
There are many reasons to want to know the lyrics of Wachana Naye by KingsMainaMSsteve .
The most common reason to want to know the lyrics of Wachana Naye is that you really like it. Obvious, right?
Knowing what the lyrics of Wachana Naye say allows us to put more feeling into the performance.
If your motivation for searching for the lyrics of the song Wachana Naye was that you absolutely love it, we hope you can enjoy singing it.
Feel like a star singing the song Wachana Naye by KingsMainaMSsteve , even if your audience is just your two cats.
A very common reason to search for the lyrics of Wachana Naye is the fact that you want to know them well because they make you think of a special person or situation.
On this page, you have at your disposal hundreds of song lyrics, like Wachana Naye by KingsMainaMSsteve .