Lyrics of 'Baila' by Diamond Plantnumz

Do you want to know the lyrics of Baila by Diamond Plantnumz? You're in the right place.

On our website, we have the complete lyrics of the song Baila that you were looking for.

If you've been searching for the lyrics of the song Baila by Diamond Plantnumz for a long time, start warming up your voice, because you won't be able to stop singing it.

Kama unanipenda sana
Umaarufu weka mbali
Na ile nyumba ni ya mama
Hivyo usiwaze madale
Isiwe kesho madrama
Napigiwa simu na tale
Hadi insta natukanwa
Umeshaanzisha kwale

Moyo wangu
Mwepesi kupenda ila ngumu kusahau
Moyo wangu
Nateseka sana nayempenda akinidharau
Moyo wangu
Hodari wa kugawa wa kunipa sina
Moyo wangu
Ndio maana nasisitiza usije na wewe

Baila baila baila
Baila baila baila
Baila baila baila
Baila mama
Baila baila baila
Baila baila baila
Baila baila baila
Baila mama

Muziki vita
Hawataki niendelee
Hivyo ukipata nafasi
Tafadhali niombee
Na nyumbani visa
Ndugu zangu wazoee
Itaniumiza nafsi
Ikifikia musiongee
Na mashemeji kwa ofisi unapocheka nao
Tahadhari sana
Si unajua wanamuziki vitabia vyao
Wamejawa tamaa
Oh na! Na dada zangu mawifi
Chunga nyendo zao
Usipelekwe mlama
Wakikwambia kaniki mara chota nyayo
Jua mumewe nakwama, ah

Utamu wa big g ni kutafuna
Usimeze uroda
Ongeza tu bidii kunikuna
Sio kuniroga
Kunikomba zaidi
Pika nguna nitaleta mboga
Unipe na kabibi kwetu suna
Nishushie na soda

Moyo wangu
Mwepesi kupenda ila ngumu kusahau
Moyo wangu
Nateseka sana nayempenda akinidharau
Moyo wangu
Hodari wa kugawa wa kunipa sina
Moyo wangu
Ndio maana nasisitiza usije na wewe

Baila baila baila (oh bailando oh)
Baila baila baila (baila kipenzi)
Baila baila baila (eeh eeh)
Baila mama (bailando oh)
Baila baila baila (baila kidogo)
Baila baila baila (baila nione)
Baila baila baila (eeh eeh)
Baila mama (bailando oh)

Usiseme you love me
Then you lying
Usiseme you love me
Then you lying
Usiseme you love me
Then you lying
Usiseme you love me
Then you lying

Baila baila baila
Baila baila baila
Baila baila baila
Baila mama
Baila baila baila (oh baila)
Baila baila baila (baila kipenzi)
Baila baila baila
Baila mama

Play Escuchar "Baila" gratis en Amazon Unlimited

There are many reasons to want to know the lyrics of Baila by Diamond Plantnumz.

The most common reason to want to know the lyrics of Baila is that you really like it. Obvious, right?

When we really like a song, as might be your case with Baila by Diamond Plantnumz, we wish to be able to sing it knowing the lyrics well.

Knowing what the lyrics of Baila say allows us to put more feeling into the performance.

If your motivation for searching for the lyrics of the song Baila was that you absolutely love it, we hope you can enjoy singing it.

Feel like a star singing the song Baila by Diamond Plantnumz, even if your audience is just your two cats.

It's important to note that Diamond Plantnumz, in live concerts, has not always been or will be faithful to the lyrics of the song Baila... So it's better to focus on what the song Baila says on the record.

On this page, you have at your disposal hundreds of song lyrics, like Baila by Diamond Plantnumz.

Learn the lyrics of the songs you like, like Baila by Diamond Plantnumz, whether it's to sing them in the shower, make your covers, dedicate them to someone, or win a bet.